mtotoWanandoa wawili nchini India wana furaha baada ya mahakama kuamuru hospitali kuwakabidhi sampuli ya mbegu za kiume zilizogandishwa za mtotoMara nyingi wazazi wanapotengana huwa tunashuhudia mabishano ya nani anatakiwa kukaa na mtoto. Ni mama au baba. Kwa suala hilihili wapo watu wako mahakamani